MATUMIZI YA MLONGE KWENYE NYWELE


Mlonge ni mmea ambao unafaida nyingi sana katika mwili wa binadamu na unatumika sehemu mbalimbali duniani, hii inapelekea kuwa na majina mengi sana, baadhi nitayataja hapo chini👇🏼👇🏼
✅Moringa Oleifera
✅Drumstick tree
✅Miracle tree
✅Ben oil tree
✅The horseradish tree
Na mengine mengi sana kulingana na eneo au nchi ambayo mtu yupo.
Mlinge unatumika katika bidhaa mbali mbali za afya na za nywele; Leo nitaongelea tu kuhusiana na umuhimu wake kwenye nywele.

Majani ya Mlonge (Moringa leaves) yanapendwa sana na watu wanaotunza nywele zao kwa sababu yana madini na vitamins za kutosha kurutubisha nywele vizuri.
Mlonge una;
•Vitamin A, E na B
•Calcium, Potassium, Zinc na Iron

FAIDA ZA MORINGA LEAVES
Yanaimarisha hair follicles
Yanaimarisha mzunguko wa damu, virutubisho na oxygen kwenye scalp
•Improve hair growing process (inasaidia ukuaji mzuri wa nywele)

JINSI YA KUANDAA
•Chukua majani kadhaa ya mlonge yaoshe vizuri yawe masafi
•Baada ya hapo weka kwenye sufuria, ongeza maji kidogo acha vichemke kwa muda wa dakika 5
•Acha maji yapoe, ongeza mafuta kidogo kisha uwe unaspray kwneye nywele mara kwa mara na baada ya kuspray seal in moisture.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad