STEAMING NZURI INAYOKUZA NA KUJAZA NYWELE

MAHITAJI
🧚🏻‍♂️Parachichi nusu (inategemea na ukubwa)
🧚🏻‍♂️Black castor oil (mafuta ya mnyonyo) kijiko kimoja
🧚🏻‍♂️Ndizi iliyoiva nusu (au inategemea na ukubwa wa ndizi)
🧚🏻‍♂️Mafuta ya mzeituni (Olive oil) au mafuta ya nazi kijiko kimoja

JINSI YA KUANDAA
🧚🏻‍♂️Weka vyote kwenye blender saga hadi ilainike vizuri (kupata consistency nzuri),
🧚🏻‍♂️Baada  ya kuosha nywele zako sasa paka hyo steaming halafu vaa  kofia ya plastic (zile za kuogea) au kama una steamer ni nzuri zaidi.
🧚🏻‍♂️ Jifunge kitambaa ili joto lisitoke
🧚🏻‍♂️Kaa  dk 35 ukimalza hapo osha na maji safi.
🧚🏻‍♂️Paka  conditioner yako sugua sugua dk 5 baada ya hapo osha na maji ya barid.
🧚🏻‍♂️Baada ya hapo fuata LCO Method na kumalizia  na mitndo kinga.

NB: Kwa kawaida Steaming hufanywa kila wiki yaani kwa mwez mara 3 halafu Protein steaming (Protein treatment) mara 1 kwa mwezi au kila baada ya wiki 6

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad