FAIDA ZA KUTUMIA HINA (HENNA) KWENYE NYWELE


Henna (Hina) inasaidia katika kubalance  hali ya kichwa kwa maana ya pH na kusaidia kuondoa muwasho wa ngozi ya kichwani.
•Inasaidia  nywele kukua kiusahihi
•Inapunguza  kukatika kwa nywele na kasi ya mvi kuota kwa wale wenye asili ya mvi au wenye umri mkubwa
•Inaweza kutumika kuzipa nywele zako rangi na mng'ao wa tofauti kadri unavyoitumia (Hair dye)
• Pia unawez  kuitumia Henna Kama conditioner (Tutaangalia kwenye somo linalofuata)
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad