Kama ambavyo mwili unahitaji maji kuendelea kunawiri vivyo hivyo nywele zetu zinahitaji unyevu ili kuendelea kuwa nzuri na zenye afya. Kuna niia ambazo zimezoeleka kufanya nywele kuwa na unyevu; Hivyo wewe kama mtu unaetunza nywele unatakiwa ujue aina ya nywele zako na njia gani ya kuhifadhi nywele inkubalika na nywele zako.
Njia hizo zinaoneshwa vizuri kwenye picha hii 👇🏼👇🏼👇🏼
C= Cream (Unaweza tumia Shea butter au Mango butter)
O=Oil (Hapa tunatumia carrier oils kama vile Black Castor oil, Coconut oil, Olive oil, Jojoba oilnk)
L=Leav in Conditioner/Water based conditioner (Unaweza tumia ambayo inaendana na nywele zako, ila ambayo imezoeleka ni brand ya Cantu au Antie Jackies Leave in conditioners japo unaweza tumia ya asili ya kutengeneza mwenyewe nyumbani kama Vile Gelly ya Aloevera au ya bamia.