KANUNI 10 ZA KUWA NA NYWELE NZURI
0
June 24, 2020
🧚🏻♂️ Jua jinsi ya kuchana nywele zako kwa usahihi
🧚🏻♂️Jua jinsi ya kufumua nywele zako kiusahihi na jinsi ya kuzitunza wakati umefumua ili kuzuia kukatika.
🧚🏻♂️ Jinsi ya kubana na kusuka nywele pamoja na kuchagua mitindo rafiki kwa ajili ya nywele
🧚🏻♂️Treatments za kufanya katika nywele zako
- Steaming(deep conditioner)
-Protein treatment
-Hot Oil treatment
-Hair mask
-Leave in conditioner
🧚🏻♂️ Jinsi ya kupaka mafuta kichwani
🧚🏻♂️Vitu vya msingi vya kuwa navyo kabla haujaanza kuhudumia nywele zako
🧚🏻♂️Vitu vya kuepuka katika kuhudumia nywele zako
🧚🏻♂️Kwanini umeamua kuwa na nywele za asili
🧚🏻♂️ Una malengo gani na nywele zako
🧚🏻♂️UVUMILIVU