JINSI YA KUFANYA HOT OIL TREATMENT


Hot oil treatment ni kitendo cha kupaka mafuta ya moto au yenye joto kichwanai (hasa kwenye ngozi ya kichwa).
🧚🏻‍♂️Hii inafanyika kwa kupasha mafuta joto kisha  hutumika kumassage kichwa chako ususani kwenye ngozi sio nywele, hot oil treatment ni muhimu kwa ngozi kavu(nazungumzia ya kichwa) kama ngozi yako ina kiwango kizuri cha maji au yamezidi usitumie hii itumike kwa wale wenye ngozi kavu tu ili kushtua ngozi kupokea virutubisho kirahisi.

Mafuta yanayoweza kutumika hapa ni kama vile;
 🧚🏻‍♂️Almond  oil
🧚🏻‍♂️Coconut  oil
🧚🏻‍♂️Black Castor  oil
🧚🏻‍♂️Avocado  oil
🧚🏻‍♂️ Black  seed oil
🧚🏻‍♂️Carrot oil

Mara zkte kwenye products za nywele hasa mafuta  ni kujaribu na kujaribu mpaka mwisho kuja kupata kitu gani nywele zako zinakubali na kuzingatia. Zingatia sna  nywele yako inakubali mafuta gani vizuri, pia kama unamba, miwasho au vidonda usitumie.

JINSI YA KUANDAA
🧚🏻‍♂️Chemsha  maji ya moto
🧚🏻‍♂️ Chukua  mafuta weka kwenye chombo cha bati kisha kalisha juu ya maji ya moto

NB: Unaweza kuchanganya mafuta mawili tofauti halafu ukayapasha  moto na kutumia.
🧚🏻‍♂️Hakikisha  nywele yako ni safi kata mistari anza kupaka kisha massage vzr kichwa chote.


FAIDA ZA HOT OIL TREATMENT
👉Kuongeza  mzunguko wa damu kichwani
👉Kupunguza  ukavu kichwani  maana matundu  ya nywele yatafunguka kupelekea mafuta na maji kupenetrate vzr.
👉Nywele  kuwa imara zaidi
👉Kupunguza  nywele kujikunja sana au kujifunga

Unaweza kufanya hot oil treatment mara moja kwa mwezi, lakini ni vizuri kufanya  kila wiki  baada ya kuweka steaming wakat nywele bado safi halafu una massage Kwa nusu saa.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad