JINSI YA KUKUZA NYWELE KWA HARAKA


-Zifanye  nywele zako zisiwe kavu sana ( moisturize).

Tumia maji, moisturizing conditioner, au kwa kuchanganya nusu mafuta ya mzaituni (olive oil) na nusu mafuta ya nazi (coconut oil), au unaweza kutumia vyote kwa mpangilio sahihi.

-Fikiria kutumia protein conditioner. 
Hizi huzifanya nywele za aina flani kuwa imara na pia inaweza kuwa na madhara kwa kuzifanya nywele ziwe kavu na kukatika kiurahisi. usiiache kwenye nywele kwa muda lefu tumia kama ilivyo elekwezwa.

-Paka  mafuta mazito (to seal in moisture, kama vile Black castor oil or Shear butter)
Ngozi yako ya kichwa inapo kuwa kavu tumia mafuta ya nazi kupaka ngozi yako kwa kutumia ncha ya kidole chako. acha kupaka unapo kuta mba kwasababu mafuta hayo yanaweza kuwa chakula kizuri cha fangasi hao.Kama una mba paka mafuta mara  moja kwa wiki au tumia mafuta ya moto.

Pia tumia  neutralizing shampoo kuondoa  mafuta na madawa yote ulio tumia kwenye nywele zako.

NJIA YA PILI

-Tumia  vitamins
Vitamin supplements zinakupa virutubisho vinavyo kusaidia kukuza nywele zako


- Kula vyakula vya protein.
Vyakula vya protein kama vile nyama, maziwa, maharage ya soya, maparachichi, na mbegu za maboga.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad