30.IMPORTANT TIP (NYWELE)


Hii inasaidia na kutibu mambo mengi ikiwepo;
🧚‍♀️Mapunye
🧚‍♀️Vidonda
🧚‍♀️Nywele zilizodumaa
🧚‍♀️Mba sugu
🧚‍♀️Kupoteza kila bacteria na kichwa kinakua kisafiii
🧚‍♀️Nywele zinajaa

*Mahitaji*
💧Asali(honey)
💧Black castor oil
💧Ute wa shubiri(Alovera gel)
 

UMUHIMU WA KILA KIMOJA
ASALI
🧚‍♀️Asali ina uasili wa kulainisha..hvyo inafanya kuwa conditioner nzur yenye kulainisha nywele.Inafanya pia fuvu la kichwa kuwa na afya na kustimulate ukuaji wa nywele. Asali pia ni antbacteria inayolinda fuvu la kichwa na kufanya liwe safi na kutopata bacteria hatarishi.

ALOEVERA GEL
🧚‍♀️Shubir(Alovera gel)-Ni muunganiko mzur wa amino acids,Vitamin na madini ambavyo vina improve nywele zenye ukavu na kutibu mba

🧚‍♀️Kwa vitu vyote hvyo unachanganya pamoja kijiko kimoja kimoja (au inategema na wingi wa nywele zako lakini vipimo viwe sawa sawa) koroga hadi upate mchanganyiko mzito kdg na upake mchanganyiko wote kwenye kichwa ambao ni mzur saana na tiba ya kiwango cha juu.

🧚‍♀️Baada ya hapo uzifunge nywele zako kwa kofia ya plastic huku uwe umejisuka mabutu ukiweza 

🧚‍♀️Kaa kwa  dk 20-30 then jioshe kwa maji ya kawaida na shampoo isiyo na viambata sumu

NB: zoezi hili linafanywa nywele zikiwa chafu au safi vyovyote ila mwishoni ni lazima kuosha kwa shampoo

Unaweza fanya kila wiki mfululizo kwa matokeo ya haraka zaidi au ukiweza hata mara mbili kwa wiki

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad